Watoto wafanyakazi wa nyumbani kutoka kata ya Nyakato mjini Mwanza wakijitambulisha kwa mgeni wao kutoka Kivulini, Bw. Masesa Bandoma |
Mkuu wa kitengo cha watoto wafanyakazi wa nyumbani-Kivulini, Bw. Masesa Bandoma akizungumza na walezi wa watoto hao (Ndemuka Group) katika shule ya msingi Nundu-Nyakato July 31,2011. |
Bw. Masesa akiwa na watoto wafanyakazi wa nyumbani wanaosomeshwa na Shirika la kuktetea haki za wanawake na watoto Kivulini Aug.01.2011(kulia kwake) ni mwalimu wa watoto hao |
Bw. Masesa aendelea kukutana na watoto hao kutoka shule tofauti tofauti |
No comments:
Post a Comment