Thursday, July 14, 2011

UKAGUZI WA MIRADI INAYOFADHILIWA NA VODAFONE NA VODACOM


Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw.Erwin Telemans akifafanua jambo kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati wakielekea kweye wodi ya wagonjwa wa Fistula inayofadhiliwa na Kampuni y a simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.

Muuguzi wa Hospital wa Hospitali ya CCBRT kitengo cha wagonjwa wa Fistula Bi.  Emelda Lweno akitoa maelezo kuhusiana na jinsi wanavyowahudumia wagonjwa wa Fistula kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati alipozuru katika wodi hiyo hospitalini hapo (kulia)ni Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa  kampuni ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba .(Juzi)

No comments:

Post a Comment