Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare(kulia)akimuonyesha kitu Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bi Mwamvita Makamba kwenye kambi ya utalii ya Soroi, Serengeti wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuhifadhi mbwa mwitu (Vodacom Foundation’s Serengeti Wild Dogs Conservation Project) katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Story
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige,juzi amezindua mradi wa uhifadhi Mbwa Mwitu ujulikanao kama “Vodacom Foundation Serengeti Serengeti Wild Dogs Conservation Project” katika hifadhi ya taifa ya Serengeti,mradi ambao unafadhiliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kiasi cha dola zakimarekani 450,000 kwa miaka mitatu.
Akizungumza katika uzinduzi wa Mradi huo,Waziri Maige alisema Mbwa mwitu ni miongoni mwa wanyamapori ambao wapo hatarini kutoweka duniani hivyo jitihada kubwa zinahitajika kuwalinda na kuwahifadhi.Waziri Maige alisema katika bara la Afrika kuna idadi ya Mbwamwitu, wanaofikia 8000 na Tanzania pekee ina jumla ya mbwamwitu 3500 ambao wapo hatarini kutoweka hivi sasa.
Monday, July 18, 2011
KUTOKA DODOMA
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa(kulia )na Mbunge wa Viti Maalum Al Shaymaa Kwegyir kwenye jengo la utawala wa Bunge Mjini Dodoma Julai 18, 2011.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu
Thursday, July 14, 2011
UKAGUZI WA MIRADI INAYOFADHILIWA NA VODAFONE NA VODACOM
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw.Erwin Telemans akifafanua jambo kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati wakielekea kweye wodi ya wagonjwa wa Fistula inayofadhiliwa na Kampuni y a simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
Muuguzi wa Hospital wa Hospitali ya CCBRT kitengo cha wagonjwa wa Fistula Bi. Emelda Lweno akitoa maelezo kuhusiana na jinsi wanavyowahudumia wagonjwa wa Fistula kwa mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodafone ya nchini Uingereza Elizabeth Filkin wakati alipozuru katika wodi hiyo hospitalini hapo (kulia)ni Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba .(Juzi)
Wednesday, July 13, 2011
VIKUNDI 8 KATIKA MASHINDANO YA KWAYA NA NGOMA ZA ASILI-GEITA.
Buhangiza Mlamani Kwaya na wimbo wa kupinga ukatili dhidi ya makundi maalumu |
Kwaya ya Chanika wakiimba wimbo wa kushukuru Shirika la Kivulini. |
Buligi nao hawakuwa nyuma, waliitaka jamii kubadilika |
MWANAMKE KUJISHUGHURISHA BWANA.
Mjumbe wa bodi ya shirika la kutetea Haki za Wanawake Kivulini, Bi.Leah Soteli alipomtemblea mjasiriamali shambani kwake katika kijiji cha Chanika-GEITA, July 10, 2011.
UJASIRIAMALI
Saturday, July 9, 2011
KIVULINI AND ITS STAKEHOLDERS TRAINED ON PROJECT MONITORING, EVALUATION AND REPORT WRITING.
Moning session started with warm-up
The Exercutive Director, Maimuna Kanyamala (2nd left) giving an introduction. |
Mr. Benard Makachia-facilitating |
(From right to left) Mwl.Musiba of Igombe, KV Internal Auditer Asia Muya, Mery Katabalo, Coletha, Hellen, Ramso and Cunnegunda taking some notes during the workshop. |
50 CHILD DOMESTIC WORKERS TRAINED ON ICT.
Child Domestic Workers during their training
KIVULINI has trained 50 Child Domestic Workers the uses of computer so as to meet global challenges.
The challenge came as the world became a one village through the advancement of Information, Communication and modern Technology (ICT)
Therefore, Computer learning into our societies can not left behind child domestic workers as they are entitled to know what are going on around the world.
Article 18(1) of the constitution of Tanzania stipulates that, every person is freely to seek, receive, and impart information through any media and regardless of frontiers.
Article 18(2) states further that "every citizen has a right to be kept informed of developments in the country and in the world.
AKINA DADA MPOOOO!
Mwamvita Makamba Afunika Vodacom
Monday, July 4, 2011
WANAWAKE NA MAENDELEO.
Subscribe to:
Posts (Atom)