Thursday, September 29, 2011

ZAIDI YA WASHIRIKI 15 KUTOKA SHIRIKA LA KIVULINI WAUDHURIA TAMASHA LA 10 LA JINSIA TANZANIA

Mkurugenzi wa mtandao wa jinsia (TGNP) Bi.Usu Malya akimkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi tamasha hilo katika viwanja vya TGNP Mabibo, Dar es Salaam .
Baadhi ya washiriki kutoka shirika la kivulini (kutoka kushota) ni Afisa utawala Bi Martina Mashaka, Daktari Sheba na Mkurugenzi wa shirika hilo Bi Maimuna Kanyamala.




Amina Kisero (wa pili kulia) akiwa na zawadi ya kikoi baada ya kufunika kwenye workshop ya wanawake viongozi katika tamasha hilo.
Mwanaharakati Masesa Bandoma kutoka Kivulini akizungumza kwa hisia kali katika tamasha hilo

Mwanaharakati wa kabila la Kimasai kutoka Loliondo akizungumzia mgogoro wa Ardhi baina yao na mwekezaji.
Wanaharakati wa Tunaweza nao walitumia fursa hiyo kusajili wana mabadiliko
Edzen wa Kiss FM (Katikati) akiwa na ma-redio presenterz wenzake wakiwakilisha Tunaweza Kampeni.
Banda la watoto wafanyakazi wa nyumbani (Kivulini) lilikuwa kivutio kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto wa shule

Mama Cash (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Wote Sawa, Angel Benedictor (kulia) alipotembelea banda la watoto wafanyakazi wa nyumbani. Katikati ni Mkurugenzi wa Kivulini Bi. Maimuna na Afisa Utawala Mama Mashaka.
Wasanii wa Ngoma na sarakasi wa Mjomba band wakionyesha manjonjo katika tamasha hilo.
Mrisho Mpoto (Mjomba) naye hakuwa nyuma
Kundi la wasanii wasioona nao walikuwa kivutio katika uimbaji wa mashahiri.
Wapenzi wa jinsia moja (MASHOGA) nao walikuwepo
Mashoga wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika tamasha kabla ya kuibuka na madai ya kutambuliwa katika katiba mpya.
                                         

Thursday, August 11, 2011

YOUTH INDUCTION COURSE ON CITIZEN JOURNALISM AND PROGRAM PRODUCTION PROCESS


In an effort to reduce and prevent domestic violence against women, girls and youth, Kivulini Women’s Rights Organization has been engaging in a number of community development projects. Some of them have been Community Mobilization, Capacity Building, Youth engagement and advocacy.

Through youth program, Kivulini established that youth are the most key players in society transformation as they are dynamic groups and the future of today and tomorrow. Kivulini seeks to create them a strong voice to actively demand for their rights.

 
The Overall objective of youth induction course on community/citizen journalism and program production process is/was to create journalists who will reveal burning issues from society rather than to wait for events as some senior journalists do.

Specific objective was/is to have Community Investigative Journalists (CIJ) and Public Interest Journalists (PIJ) so as to accomplish the notion of Citizen Journalism.

Commenting on participant’s abilities, chief facilitator who is also a production manager of Afya Radio Faraja John said “If we were to make a competition between them and the current Afya radio production team after some days, no wonder youth will secure a trophy”
Faraja John with in depth elaboration about 5w+H to Angela Benect during their training.


Apart from appreciation, Faraja added that these promising community journalists and especially that still in school are likely to take career to another level has they all have qualities and ambitions to perform wonders.   

The course also raised alternative ways to address employments problems. Participants were able to learn how to participate effectively in community radio stations. They also learned how to report events that affects community as they are products of those communities (for social transformation)

Therefore, through familiarization with radio studio, trainees have a good insight in their careers as there is place in journalism for almost everyone. The field requires writers, editors, artists, and communication technicians. It also needs managers, businessmen, administrators, salesmen, photographers, announcers and even actors.

Ray Eldon Hiebert in a book “Journalism” (1979) said that “If one start early, it’s really not hard to get into field of journalism”






UP COMING CITIZEN JOURNALISTS’ PHOTOGRAPHS



 Kivulini’s Youth during their training on Citizen Journalism at Afya Radio Taining hall,Capri-Point (Right) Mr. Faraja John  lecturing.



“We want to raise community’s voice. We provide writing and reporting techniques to young generation because we want them to report issues affecting their families such as Domestic Violence, Child Domestic Workers, Social Accountability, Relationships and such alike….

Through trainings we expect to have a generation that could argue, read job descriptions of candidates during general elections and make analysis”






Mapacha wakiwa katika picha ya pamoja

Mapacha watatu na mama yao. 
Habari hii imendikwa na Gedius Rwiza



NEEMA ya kupata watoto mapacha watatu kwa mpigo aliyoipata mkazi wa Manzese, Dar es Salaam, Amina Abubakar, imegeuka balaa na sasa mwanamke huyo anaomba msaada wa kuwasomesha.


Amina alisema sababu ya kuomba msaada huo ni kutokana na mapacha hao kufikisha umri wa kwenda shule wakati maandalizi aliyojitahidi kufanya hayajazaa matunda, huku muda unazidi kusogea. Alisema hatua hiyo inatokana na mwanaume aliyekuwa na uhusiano naye kumkimbia tangu kuzaliwa kwa watoto hao miaka minne iliyopita.


Amina alisema alikuwa na uhusiano wa mapenzi na mwanaume ambaye alikuwa mfanyabiashara eneo la Mabibo, ambaye alikuwa anafika Dar es Salaam kutoka mkoani na kuondoka wakati yeye akiwa mamalishe. Alisema baada ya kupata ujauzito, mwanaume huyo hakuonekana tena hadi anajifungua hajui alipo.


“Nilipokuja hapa wakati wanangu wakiwa na miezi minane nilipata msaada mkubwa baada ya Kampuni hii kunitoa kwenye gazeti nawashukuru sana, kwa hiyo nimerudi tena ili nione kama nitapata msaada wa kuwalipia ada,” alisema Amina.


Alisema hivi sasa anaendelea na biashara ya mamalishe, lakini kutokana na maisha kuwa magumu hata mahitaji muhimu ya watoto anashindwa kuyatimiza. Kwa yeyote atakayeguswa anaomba awasiliane naye kupitia namba zifuatazo: 0718 263 968. Au Pia waweza kumpigia simu mwandishi wa habari hizi 0655 110



HAPO VIPI?


Tuesday, August 2, 2011

CHEATING IN EXAMS is everywhere

Wazee wa chabo mpooo!








MRATIBU NA AFISA AFISA HABARI WA ANTI-SLAVERY KUTOKA NCHINI UINGEREZA WATEMBELEA SHIRIKA LA KIVULINI KUJIONEA MIRADI INAYOFADHILIWA NA SHIRIKA LAO


Mwenyekiti wa watoto wafanyakazi wa nyumbani, Angela Benedictor akimweleza Mratibu wa Mradi wa wafanyakazi wa nyumbani kutoka Anti-Slavery Bi.Audrey Guichon kuhusu miradi inayoendeshwa kwa ufadhili wao walipotembelea ofisi za kikundi cha Wote Sawa, Kivulini Mwanza.


Mratibu wa Mradi wa wafanyakazi wa nyumbani Bi. Audrey Guichon (katikati) akimweleza jambo Afisa habari wake Bw. Paul Donohoe kwenye ofisi za wote sawa, Kivulini.


Watoto wafanyakazi wa nyumbani wakifurahi pamoja na wageni wao walipowatembelea katika mradi wao wa kushona nguo kwenye kikundi cha Wote Sawa.


Bi. Audrey Guichon na Bw. Paul Donohoe wakitambulishwa kwa wafanyakazi wa nyumbani wanaopatiwa mafunzo ya kompyuta pamoja na staff wa Kivulini.

Bi. Audrey Guichon na Bw. Paul Donohoe wakifuatilia utambulisho


 Baadhi ya staff wa Kivulini wakiwasikiliza wageni wao.





MCHICHA MBICHI MPISHI MBISHI